The House of Favourite Newspapers

Makonda, Gwajima Uso kwa Uso Mbele ya Magufuli “Tuna Historia Ndefu” – VIDEO

MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, leo Januari 22, amekutana uso kwa uso na Askofu Josephat Gwajima, ambaye kwa muda mrefu walikuwa na tofauti.

Makonda na Gwajima wamekutana katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu J.K Nyerere – Dar es salaam, katika Mkutano wa wachimbaji , wafanyabiashara na wadau wa sekta ya madini, uliohudhuriwa na Rais Magufuli, viongozi mbalimbali wa serikali na viongozi wa dini.

Comments are closed.