Makonda Msibani Kwa Lowassa Atupa Dongo – “Marafiki Zake Hamkwenda Kumpa Pole – Video
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda ametoa kauli hiyo akiwa katika msiba wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, Masaki Jijini Dar es Salaam, Februari 12, 2024