The House of Favourite Newspapers

Makonda: Watendaji Kata Karibuni Dar, Hakuna Wezi – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, leo amewakaribisha jijini Dar es Salaam  watendaji wa kata zote nchini akiwahakikishia usalama watakapokuwa hapa tangu Septemba 2 mwaka huu kwa ajili ya mkutano uliondaliwa na Rais  John  Magufuli.

Ameyasema hayo akizungumza na wanahabari akielezea  kufurahishwa kwake na ujio huo  kuwa ni fursa kubwa kwa wafanyabiashara na wananchi wake ambapo mkutano huo utaongeza wigo wa biashara sehemu mbalimbali na kwamba hawatakumbana na kero za wezi katika jiji hilo.

Ili kuelewa mengi zaidi fungua video hapo chini.

 

Comments are closed.