The House of Favourite Newspapers

MAMA ALIA; Nateseka, Natembelea Kigoda kwa Miaka 3, Nisaidieni – VIDEO

Bi. Fatma Athman mkazi wa Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam, amekuwa akiteseka kwa takribani miaka mitatu kutokana na tatizo la kuvunjika nyonga baada ya kuanguka wakati alipokuwa kwa ndugu yake mkoani Manyara.

 

Akieleza anayoyapata, Mama huyo amewaomba Watanzania na wasamalia wema kumsaidia fedha za matibabu kiasi cha Tsh. Milioni 11 ili aweze kupata matibabu. Kwa atakayeguswa na tatizo lake, anawezakumchangia kumpitia namba +255716966442.

VIDEO: MSIKILIZE HAPA AKIELEZA KWA MASIKITIKO

Comments are closed.