The House of Favourite Newspapers

Mama Aliyetumia Jina la Mwanae Kukopa Mil 100, ‘Afikishwa’ kwa JPM – Video

0

 

Katika kipindi cha Katambuga, cha +255 Global Radio, kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Mohamed Seif, maarufu kwa jina la ‘Mudy K‘, amesimulia kisa chake cha kusikitisha ambapo mama yake Mkubwa anadaiwa kutumia jina lake kukopa Tsh Milioni 100 na kumuachia msala unaomsumbua hadi sasa ukitishiwa.

 

Mama wa ‘Mudy K’ amefunguka mengi na kuwaomba Rais Dkt. John Magufuli, Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wamsaidie kumnasua mwanaye huyo ambaye amesingiziwa msala huo ambao amedai hana uwezo wa kuilipa.

 

Fuatilia Video Hadi Mwisho Ujue Nini Kilichotokea

Leave A Reply