The House of Favourite Newspapers

Mama Janeth Magufuli Ashiriki Misa ya Njia ya Msalaba Dodoma

Mama Janeth Magufuli akijumuika na waumini wengine katika Ibada

MKE wa Rais Mama Janeth Magufuli ameshiriki Misa ya njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Katoliki la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma jana ijumaa machi 11, 2017

…akijumuika na waumini wengine katika Ibada
Mama Janeth Magufuli akiwatakia amani
…akipokea Ekaristi Takatifu wakati wa Misa ya njia ya Msalaba
 akisalimina na waumini kanisani hapo

Aidha Mama Magufuli alipata nafasi ya kusalimiana na waumini wengine waliofika katika kanisa hilo kufanya ibada.

SHINDA NYUMBA AWAMU YA PILI YATIKISA JIJI LA DAR ES SALAAM

Salum Milongo/GPL

Comments are closed.