The House of Favourite Newspapers

MAMA KIKWETE AMBANA SWALI WAZIRI – VIDEO

Mbunge wa Kuteuliwa, Mama Salma Kikwete leo Mei 18, 2018 amembana swali Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya kuhusu kutembelea na kukagua ufanisi wa kiwanda cha kubangua korosho Mtama, Lindi.

Mama Salma amesema Ujenzi wa Kiwanda cha Kubangua Korosho katika eneo hilo kitakuwa na tija kwa wakulima wa zao hilo na taifa kwa ujumla.

 

Kauli ya mama salma imekuja ikiwa ni baada ya Mbunge wa Viti Maalum Lindi, Latifa Chande, kuuliza swali kwa Naibu Waziri huyo akitaka kujua masuala mbalimbali yanayohusu biashara ya zao hilo na ufufuaji wa viwanda vya kubangua korosho mkoani Lindi.

Swahi hilo limejibiwa na Mbunge Mhandisi Stella Manyanya bungeni.

Comments are closed.