The House of Favourite Newspapers

NEVATUSI MANGO NA VERONICA MKASA WAFUNGA PINGU ZA MAISHA

Bwana harusi, Nevatusi Mango na bibi harusi, Veronica wakiwa na wapambe wao.
Keki maalum iliyoandaliwa katika sherehe hiyo.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa na nyuso za furaha.
Bibi harusi Veronika Mkasa akiwa katika pozi.
Bwana harusi, Nevatusi Mango na bibi harusi, Veronica wakiwa na furaha

  

 

Jumapili ya Mei 13, 2018 ni siku ya kipekee kwa wapendanao wawili, Nevatusi Mango na Veronica Mkasa ambao walitimiza hatua muhimu katika maisha ya binadamu, pale walipofunga pingu za maisha katika Kanisa la St. Peters, Oysterbay jijini Dar es Salaam.

 

Ndugu, jamaa na marafiki walijitokeza kuwaunga mkono wawili hao katika shughuli hiyo muhimu, na kushuhudia wakivishana pete madhabahuni huku wakila kiapo cha kuishi pamoja mpaka kifo kitakapowatenganisha.

 

Global Publishers inawapongeza Nevatus na Veronika na tunawatakia maisha mema ya ndoa yenye furaha na baraka tele.

Comments are closed.