The House of Favourite Newspapers

Mama Mwenye Mapacha 8, Ajifungua Watatu – Video

0

GLOBAL JAMII imepata nafasi ya kukutana na mama mwenye watoto nane ambaye pacha wake watatu wa mwisho alijifunguawatoto njiti katika Hospitali ya Muhimbili ndipo alipoamua kugoma kutoka hospitalini hapo kwa sababu ya mazingira yaliyopo nyumbani kwake ikiwemo kuishi na watoto wote katika chumba kimoja cha kupanga

Leave A Reply