The House of Favourite Newspapers

Mama Samia Suluhu asimikwa umalkia Wilayani Maswa, wamwita Ngole‏

0
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan (kulia) akisimikwa kuwa Malkia wa Wasukuma Wilaya ya Maswa na akinamama wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania ya CCM (UWT) alipowasili Jimbo la Maswa Mashariki kufanya mkutano wa hadhara wa kampeni kunadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa wana Maswa.
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan (kulia) akisimikwa kuwa Malkia wa Wasukuma Wilaya ya Maswa na akinamama wa Jumuiya ya Umoja wa wanawake Tanzania ya CCM (UWT) alipowasili Jimbo la Maswa Mashariki kufanya mkutano wa hadhara wa kampeni kunadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa wana Maswa.
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan (kulia) akisimikwa kuwa Malkia wa Wasukuma Wilaya ya Maswa na akinamama wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania ya CCM (UWT) alipowasili Jimbo la Maswa Mashariki kufanya mkutano wa hadhara wa kampeni kunadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa wana Maswa.
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan (kulia) akivishwa vazi maalum kuwa Malkia wa Wasukuma Wilaya ya Maswa na akinamama wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania ya CCM (UWT) alipowasili Maswa kufanya mkutano wa hadhara wa kampeni kunadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa wana Maswa.
Umati wa wanaCCM na wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM leo, Mama Samia Suluhu Hassan Uwanja wa Nguzo Nane Maswa Mashar.
Aliyekuwa mbunge wa CCM Jimbo la Nkenge, Asumpta Mshama akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara Uwanja wa Nguzo Nane Maswa.
Msanii Snura Majanga (wa nne kutoka kushoto) akiwaburudisha wananchi walio hudhuria mkutano wa hadhara uliofanyika Mwabuzo Jimbo la Meatu.
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM Taifa akinadi Sera za CCM mkutano wa hadhara Meatu.
Wananchi wa Mwabuzo Jimbo la Meatu wakiwasilisha kilio chao kwa mgombea mwenza CCM alipofanya mkutano eneo hilo.
Umati katika mkutano wa mgombea mwenza.
CCM Oyeeeeeeee….katika mkutano wa hadhara Jimbo la Maswa Mashariki.
Akinamama wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania ya CCM (UWT) alipowasili Jimbo la Maswa Magharibi wakikabidhi zawadi zao kwa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan baada ya kumsimika ‘Ng’walu Majura’.
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi Maswa Magharibi.
Mgombea ubunge wa Jimbo la Maswa Magharibi, Mashimba Ndaki akiwahutubia wananchi kwenye mkutano huo wa hadhara.
Mgombea ubunge wa Jimbo la Maswa Magharibi, Mashimba Ndaki akiwahutubia wananchi kwenye mkutano huo wa hadhara.
Ulinzi…! Askari wa Jeshi la Polisi kikosi maalum cha ulizi kwa viongozi wakilisindikiza gari la mgombea mwenza Mama Samia Suluhu mara baada ya kumaliza kuwahutubia wananchi Maswa. 
Leave A Reply