The House of Favourite Newspapers

Manchester City Dhidi Ya Tottenham Mzigo Wakutosha Pale Meridianbet

0

Ulikua unaulizia mzigo wa kutosha sikiliza ni hivi mzigo ni kweli upo wa kutosha kama kaulimbiu ya Meridianbet inavyosema, Lakini mzigo huo utakuepo pale dimba la Etihad ambapo Manchester City watakua nyumbani kuwakaribisha Tottenham Hotspurs.

Mchezo huu unatarajiwa kua na ushindani mkubwa kutokana ubora ulipo baina ya vilabu hivyo viwili, Kwani zinakutana klabu ambazo mara kadhaa zinapokwenda kucheza mshindi hajulikani na yeyote hua anaibuka na matokeo bila kuzingatia fomu ya mwenzake.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Manchester City watakua na faida kubwa kwakua watakua nyumbani katika dimba lao la Etihad lakini watahitaji alama tatu muhimu pia ili kuendelea kutengeneza nafasi ya kurudi kileleni, Lakini Tottenham wao wamekua wakiwashangaza Manchester City mara kwa mara wanapokutana hivo ni mchezo wa kukata na shoka unaosubiriwa kwa hamu.

Mchezo huu utakua wenye ushindani mkubwa kuanzia ndani ya uwanja mpaka nje ya uwanja kwani makocha wa vilabu vyote wana ubora mkubwa, Kwani Pep Guardiola anafahamika ubora wake bila kumsahau Ange Postecoglou wa Tottenham ambaye anahesabika kama moja ya makocha tishio wanaokuja barani ulaya hivo ni mechi ambayo itakupa vionjo vyote.

Mchezo huu unatarajiwa kua mkali vilevile kutokana matokeo ambayo vilabu hivyo imepata katika michezo yao ya mwisho, Manchester City ambao wametoka kudondosha alama katika mchezo uliopita wakicheza dhidi ya Liverpool wakitoka sare, Lakini pia Tottenham wao ndio watakua na njaa zaidi kwani hawajavuna alama hata moja katika michezo yao mitatu ya mwisho.

Mchezo huu umepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet kwakua hivo unapewa nafasi kubwa wewe mteja wa Meridianbet kuhakikisha unaweza mkeka wako mapema ili uweze kujipigia maokoto ya kutosha wikiendi hii ili kuepuka unyonge.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Leave A Reply