The House of Favourite Newspapers

Mangungu: Simba Hali ni Shwari

0

MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu, amesema licha ya timu yao kukosa matokeo mazuri katika michezo mitatu iliyopita ya Ligi Kuu Bara, lakini bado wapo imara na hakuna mgogoro wowote unaoendelea klabuni hapo, kila kitu ni shwari.

 

Kwenye mechi hizo tatu, Simba imepoteza mbili dhidi ya Mbeya City na Kagera Sugar, huku ikitoka
suluhu na Mtibwa Sugar. Juzi
Jumapili ilishinda 6-0 dhidi ya Dar City kwenye Kombe la Shirikisho la
Azam Sports hatua ya 32 bora.

 


Akizungumza na
Spoti Xtra, Mangungu alisema: “Hakuna mgogoro wowote baina ya benchi la ufundi na wachezaji wala bodi, naweza kukiri hayo yanayosemwa ni propaganda za watu wa mataani tu.

LIVE: FEI TOTO AZUA HOFU YANGA, SIMBA YATUMA SALAMU YANGA, PABLO AITISHA KIKAO CHA GHAFLA…

Leave A Reply