‘Dulla Mbabe’ Apewa Mapokezi Bab’Kubwa Akitokea China – Video

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’, leo amepokelewa kwa shangwe kubwa na mashabiki wa ndondi nchini alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea China ambako usiku wa kuamkia Jumamosi, Septemba 31, 2019, alifanikiwa kumchapa raia wa China, Zulipiker Maimaitiali, kwa ‘TKO’ katika  raundi ya tatu na kuwa Bingwa wa Dunia wa Bara la Asia (WBOAP) uzito wa kati.

 


Loading...

Toa comment