The House of Favourite Newspapers

Mashabiki Man U Wachukizwa na Mourinho Kuhusu Penalti ya Pogba

Image result for Jose Mourinho

PAMOJA na kurejea katika mstari wa kujiweka sawa baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Juventus ya Italia, Manchester United ambayo haikupoteza mchezo dhidi ya Chelsea na jana ilishinda mchezo wa ligi kuu 2-1 dhidi ya Everton, bado mashabiki wake wanamshutumu kocha wa klabu hiyo Jose Mourinho wakimataka aondoke, hususan kwa kumruhusu mchezaji Paul Pogba kupiga penalti ambayo kipa aliugonga kwa ngumi mpira ukarudi uwanjani lakini bahati akaupiga tena na kufunga.

Moja ya chuki nyingi nyingine za mashabiki wa klabu hiyo dhidi ya kocha huyo ni kutowachezesha kila mara Romelu Lukaku na Athony Martial.

Related image

 

Comments are closed.