The House of Favourite Newspapers

Mashabiki Wanavyojiandaa Kwa Mechi ya leo Taifa -Video

Joto la mpambano wa watani wa jadi Simba na Yanga linazidi kupanda kwa Mashabiki wa vilabu hivyo huku wakijiandaa kwa ajili ya kwenda kuzishangilia timu zao hapo leo.

Global TV Online imepita katika mitaa mbalimbali ikiwemo makao makuu ya vilabu vyote viwili jiji la Dar es salaam na kushuhudia mashabiki wakinunua jezi kwa ajili ya mtanange huo unaosubiriwa kwa hamu kubwa na mshabiki wa soka nchini

Comments are closed.