MASHINDANO YA ‘NMB CDF TROPHY’ 2019 YAANZA LUGALO DAR

Mkuu wa Majeshi, Mstaafu Jenerali George Waitara akishiriki Mashindano ya Mchezo wa Golf ya Kombe la Mkuu wa Majeshi nchini “NMB CDF TROPHY” katika viwanja vya Club ya Golf Lugalo.

Mchezaji wa Golf, Tumwesige Mujwauzi toka Benki ya NMB akiendelea na Mashindano maalum ya Mchezo wa Golf ya Kombe la Mkuu wa Majeshi nchini “NMB CDF TROPHY” katika viwanja vya Club ya Golf Lugalo jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Klabu ya Golf ya Lugalo, Brigedia Jenerali mstaafu, Michael Luwongo akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuanza rasmi kwa Mashindano ya Mchezo wa Golf ya Mkuu wa Majeshi yanayofanyika kwa siku mbili viwanja vya mchezo huo Lugalo jijini Dar es Salaam. Benki ya NMB imedhamini Mashindano maalum ya Mchezo wa Golf ya Kombe la Mkuu wa Majeshi nchini “NMB CDF TROPHY”.

Baadhi ya wachezaji wa Golf wakipokea sehemu ya vifaa vya kucheza mchezo huo toka kwa mdhamini mkuu wa mashindano hayo, Benki ya NMB kabla ya kuanza kucheza. Benki ya NMB imedhamini Mashindano maalum ya Mchezo wa Golf ya Kombe la Mkuu wa Majeshi nchini “NMB CDF TROPHY”.

Kushoto ni baadhi ya wachezaji wa Golf wakipokea sehemu ya vifaa vya kucheza mchezo huo toka kwa mdhamini mkuu wa mashindano hayo, Benki ya NMB kabla ya kuanza kucheza. 

Baadhi ya wachezaji wa Golf katika Mashindano maalum ya Mchezo wa Golf ya Kombe la Mkuu wa Majeshi nchini “NMB CDF TROPHY” linalofanyika viwanja vya TPDF Lugalo Golf Club wakiendelea na mchezo.

Mchezaji wa Golf kutoka Benki ya NMB akiendelea na Mashindano ya Mchezo wa Golf ya Kombe la Mkuu wa Majeshi nchini “NMB CDF TROPHY” linalofanyika viwanja vya TPDF Lugalo Golf Club.

Baadhi ya wachezaji wa Golf katika Mashindano maalum ya Mchezo wa Golf ya Kombe la Mkuu wa Majeshi nchini “NMB CDF TROPHY” linalofanyika viwanja vya TPDF Lugalo Golf Club wakiendelea na mchezo.

Nahodha wa Timu ya NMB inayoshiriki Mashindano ya Mchezo wa Golf ya Kombe la Mkuu wa Majeshi nchini yaani “NMB CDF TROPHY” akizungumza na wanahabari kuelezea walivyojiandaa kushiriki mchezo huo.

Taswira ya  uzinduzi Mashindano ya Mchezo wa Golf ya Kombe la Mkuu wa Majeshi nchini “NMB CDF TROPHY”  ilivyoonekana katika viwanja vya Golf Lugalo.


Loading...

Toa comment