testiingg
The House of Favourite Newspapers

Mashtaka Sita Yanayomkabili Staa wa Yanga Feisal Haya hapa

0
Feisal Salum Abdalla.

BARUA ambayo imevuja iliyoelekezwa kwa Feisal Salum Abdalla, Mei 16, 2023 alipokea barua ya malalamiko kutoka kwa uongozi wa klabu yake ya Yanga ikimtuhumu kwa makosa mbalimbali ya kinidhamu.

Barua hiyo pia ilimuelekeza Feisal kuhudhuria kikao cha kamati ya sheria na nidhamu kitakachosikiliza mashtaka dhidi yake mnamo tarehe 24 (juzi), Mei 2023 saa 4:00 asubuhi katika ofisi za klabu zilizopo Jangwani ukumbi wa mikutano.

Hati ya mashtaka yanayomkabili kiungo mshambuliaji wa Yanga Feisal Salum.

 

Leave A Reply