The House of Favourite Newspapers

Mashujaa Watinga hatua ya robo fainali ya kombe la Shirikisho, Simba Watolewa

0

Mashujaa Fc wametinga hatua ya robo fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB kufuatia ushindi wa penalti 6-5 dhidi ya Simba Sc kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora ya CRDB Bank Federation Cup.

FT: Mashujaa Fc 1-1 Simba Sc (P 6-5)

MATUTA:
Mashujaa: ❌✅✅✅✅✅✅
Simba SC: ✅✅✅❌✅✅❌

Simba Sc imesukumizwa nje ya michuano ya kombe la Shirikisho la CRDB huku Mashujaa wakisonga mbele.

Leave A Reply