The House of Favourite Newspapers

Kamanda Muliro Awataja Wezi Mfuko Wa NSSF, Watu 30 Wakamatwa – Video

0


Jeshi la Polisi pamoja na Maafisa wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF kuanzia Desemba 2023 hadi Aprili 2024 limewakamata Watuhumiwa 30 kwa tuhuma za kughushi nyaraka mbalimbali kwa lengo la kujipatia malipo kwa njia ya udanganyifu kutoka kwenye Mfuko huo

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Muliro Jumanne amesema Watuhumiwa wamekamatwa wakiwa na nyaraka za bandia zinazohusu kuacha Kazi, Vyeti vya Huduma, taarifa za uongo za Ugonjwa, Hati za Uongo za kufukuzwa Kazi pamoja na fomu za kugushi za kuomba Mafao ya NSSF

Leave A Reply