The House of Favourite Newspapers

Masikitiko Tena! Kipa wa Brazil Aliyenusurika Ajali ya Ndege Naye Afariki Dunia

 brazilian-goalkeeper-killed-plane-crash       

MWANASOKA wa Brazil aliyejiondoa katika mabaki ya ndege iliyoanguka nchini  Colombia Jumatatu usiku, alimpigia simu ya mwisho mkewe muda mfupi kabla ya kufariki kwa majeraha.

brazilian-goalkeeper-die-plane-crash

tragic-goalkeeper-danilo-made-heartbreaking-final-phone-call-to-his-wife-from-his-hospital-bed-onlyMlinda mlango huyo, Danilo Padilha ,  wa klabu ya Chapecoense alikuwa mmoja wa watu waliopatikana mwanzoni katika mabaki ya ndege hiyo iliyoanguka ikitokea Bolivia kwenda jiji la Medellin.

brazil-1Mashabiki wa klabu ya Chapecoense ya Brazil wakiwa katika uwanja wa klabu hiyo kuwaombea wote waliofariki katika ajali ya ndege Colombia.

rescuers-search-for-survivors-from-the-w

Baada ya  ajali hiyo iliyoua watu zaidi ya 70, kipa huyo mwenye umri wa miaka 31, alikimbizwa kwenda hospitali ambako akiwa amelazwa alizungumza na mkewe kwa simu na baada ya muda mfupi akafariki kutokana na majeraha aliyokuwa ameyapata.

brazil-3Wiki kadhaa nyuma, alikuwa ameweka picha kwenye mtandao akiwa na mkewe aliyemwelezea kama “kipenzi change”.

brazil-5

Nyota wa Klabu ya Real Madrid na Timu ya Taifa ya Ureno, ameichangia klabu ya pesa kiasi cha Euro milioni 3 (sawa na TZS 6.92 bilioni) kufuatia ajali ya ndege iliyoua wachezaji na viongozi wa kalbu hiyo.

brazil-4

Wakati huo, Klabu za soka za nchini Brazil zimeliomba shirikisho la soka nchini humo kuziruhusu ili ziweze kuichangia klabu ya wachezaji na pia wameomba isisushwe daraja kwa miaka mitatu.

brazil-2

the-wreckage-of-the-lamia-airlines-chart

members-of-the-forensics-team-carry-theeditors-note-graphic-content-memberscybuj7jwgaaphix

rescuers-search-for-survivors-from-the-wnNdege hiyo ilivyopata ajali.

halotel-strip-1-1

Comments are closed.