The House of Favourite Newspapers

MASKINI TAMBWE, Afanyiwa Kitu Mbaya Yanga – Video

Mshambuliaji wa Yanga, Ammis Tambwe katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa leo oktoba 24, 2018 wachezaji wenzake wamemwagia maji baada ya kumaliza mazoezi yao ya kujiandaa na mchezo wao dhidi ya KMC ya kinondoni hapo kesho katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

Yanga wanashuka dimbani kesho kukipiga na KMC katika muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

TAZAMA TUKIO HILO HAPA

Comments are closed.