The House of Favourite Newspapers

Mataifa 10 Yenye Ulinzi Mkali Zaidi Wa Mipaka Yake!

Kila taifa duniani lina uwezo wake wa kupambana na maadui na kulinda mipaka ya nchi yake ipasavyo isiingilie au kuvamiwa na taifa lingine. Lakini je, unayafahamu mataifa yenye ulinzi mkali zaidi duniani? Hii leo nakuletea orodha ya mataifa hayo 10 duniani.

10. USWIZI; Uswizi ina faida kuu mbili linapokuja suala la ulinzi kutoka kwa wavamizi. Ya kwanza ni kwamba hakuna mtu anayetaka kuwavamia kwasababu wameshindwa kuvamiwa tangu vita zote mbili vya ulimwengu bila kushambuliwa, pamoja na msimamo wao wa kutokua upande wowote ni faida kubwa.

Comments are closed.