The House of Favourite Newspapers

Matokeo ya Michezo ya Ligi Kuu, Simba Yaifunga Stand Bao 3-0

TIMU ya Simba wamefanikiwa kushinda mabao 3-0 dhidi ya Stand United katika mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa leo uwanja wa Taifa.
Kocha wa Mbao FC Amri Said amesema utulivu wa wachezaji umewasaidia kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo uliochezwa uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
Kocha wa Lipuli Seleman Matola amesema wamepoteza mchezo kutokana na washambuliaji wake kushindwa kutumia nafasi walizotengeneza wamekubali kufungwa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Samora Iringa.

Comments are closed.