The House of Favourite Newspapers

Wizara ya Kilimo Yatoa Majina Waliofariki Katika Ajali, Singida

Wizara ya Kilimo na Chakula imetoa majina ya watumishi 5 waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea leo asubuhi eneo la Njirii Wilaya ya Manyoni mkoani Singida.

1. Stella Ossano (39)

2. Esta Mutatembwa (36)

3. Abdallah Mushumbusi (53)

4. Charles Somi

5. Erasto Mhina (43)

BREAKING NEWS: WATANO WAFARIKI AJALINI MANYONI, SINGIDA

Comments are closed.