The House of Favourite Newspapers

Makomando Wakishuka Kwenye Helikopta kwa Kamba – (Picha + Video)

0

KUTOKA Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es salaam, pichani ni matukio mbalimbali ya Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Kikosi cha Makomando wakishuka uwanjani hapo kwa kamba kutoka juu ya helikopta wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru Tanzania Bara yaliyofanyika leo Desemba 9, 2021 Uwanjani hapo.

 

 

 

Leave A Reply