The House of Favourite Newspapers

Mauaji Mbezi: Afisa Mtendaji Achinjwa Akiwa Ofisini Kwake-Video

0

Mauaji ya kutisha yametokea eneo la Mbezi Msumi mkoani Dar es Salaam baada ya watu wasiofahamika kudaiwa kuvamia ofisi za Serikali ya Mtaa wa eneo hilo na kisha kumuua Ofisa Mtendaji kwa kumkata na panga.

 

Tukio hilo la mauaji limetokea leo Oktoba 11, 2021 kati ya saa sita hadi saa saba mchana wa leo na inadaiwa ofisa huyo mtendaji wa Serikali ya Mtaa wa Mbezi Msumi Jijini Dar es salam ameshambuliwa kwa kukatwa na panga shingoni na watu ambao hawafahamiki.

Leave A Reply