Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amekonga umati mkubwa wa wananchi wa Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma waliojitokeza kusikiliza sera za chama hicho kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo Mei 20,2023 wilayani hapo.