Mbunge Mwanaisha Akimkingia Kifua Rais Samia – “Tunaenda Nae 2025”-Video

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Tanga Mwanaisha Ulenge amesema yoyote atakaempiga vita Rais Wa Tanzania Mh Samia Suluhu atakuwa amempiga vita mwanamke wa Tanzania.

 

Ameyasema hayo mbele yamakamu wa raisi wa pili wa serekali ya mapinduzi ya zanzibar Mh Hemedi Suleimani Abdullah alipokuwa akitembelea shina namba mbili lililopo kijiji cha kwagunda wilayani korogwe.


Toa comment