The House of Favourite Newspapers

Mbunge Nyongo Apata Ajali, Akiwa Njiani Kwenda Kwenye Mazishi -Video

0

Mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo Februari 25, 2021 alipata ajali maeneo ya Mkalama mkoani Singida akiwa njiani kuelekea Meatu kwenye mazishi ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Wahanga wote wako vizuri kiafya hamna aliyeumia.

Leave A Reply