The House of Favourite Newspapers

Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Dkt. Gwajima Afanya Uteuzi wa Wasadizi Wake

0

Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Dkt. Josephat Gwajima katika kutekeleza ilani ya chama cha mapinduzi katika suala zima la michezo amewateua wafuatao kuwa wasaidizi wa Mbunge kwenye masuala ya michezo, utamaduni na sanaa.

 

Ndugu Ramadhani Rashid Kindamba msaidizi wa Mbunge masuala ya Michezo, utamaduni na sanaa kata ya Mabwepande

 

Bi. Jamila Abdallah Rajabu msaidizi wa Mbunge masuala ya Michezo utamaduni na sanaa kata ya Bunju.

Uteuzi unaanza mara moja.

Leave A Reply