The House of Favourite Newspapers

Mbwana Samatta atua kwa kishindo Dar

0

Mbwana Samatta (11)Mshambuliaji Mbwana Ally Samatta wa Tanzania na klabu ya TP Mazembe akionyesha tuzo yake  ya Mchezaji Bora anayecheza soka barani Afrika baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa kuamkia leo akitokea mjini Abuja, Nigeria.

Mbwana Samatta (13) Mbwana Samatta (14)Mbwana  Samatta akipiga picha na mashabiki wake.

Mbwana Samatta (6)Baba mzazi wa Samatta, Ally Pazi Samatta (wa pili kutoka kushoto), akiwa na mke wake (wa pili kutoka kulia).

Mbwana Samatta (15) Mbwana Samatta (17) Mbwana Samatta (23)Samatta akiongea na mashabiki mbalimbali uwanjani.

Mbwana Samatta (29)Waandishi wa habari wakifanya mahojiano na Mbwana  Samatta.

Mbwana Samatta (25) Mbwana Samatta (26)Mashabiki wakiendelea na shangwe baada ya kumpokea.Mbwana Samatta (27)Samatta akiondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Mbwana Samatta (10)Waandishi wa habari wakifanya yao kabla ya kuwasili Mbwana Sammata.

Mbwana Samatta (4) Mbwana Samatta (5) Mashabiki wakijiachia kwa furaha.

PICHA: RICHARD BUKOS/GPL

Leave A Reply