The House of Favourite Newspapers

MC PILIPILI AFUNGUKA – “Sijalala Nae, Nimelipa Mahari Yote, Mzuri Sana” – VIDEO

SIKU Chache baada ya Mchekeshaji Maarufu Bongo, MC Pilipili, kumvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Mena, Global TV Imemtafuta na kutaka kujua ni lini hasa watafunga ndoa.

MC Pilipili pia amezungumzia jinsi walivyoanza uhusiano mpaka sasa wanataka kuoana, na pia amemwagia sifa mpenzi wake huyo zilizomfanya alipe mahari yote bila kubakisha hata mia huku akiwa na shauku kubwa ya kukutana nae chumbani.

Comments are closed.