Mchongo Mzima Bet 2021 Ulikuwa Hivi
MWANAMUZIKI wa Tanzania, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekosa Tuzo ya BET usiku wa kuamkia, katika Kipengele cha Mwanamuziki Bora wa Kimataifa alichokuwa anawania Diamond, aliyetwaa tuzo hiyo ni mwanamuziki wa Nigeria, Burna Boy.
Wengine waliokuwa wameteuliwa kuwania tuzo hiyo ni pamoja na Mwanamuziki wa Brazil Emicida, Headie One kutoka Uingereza, Aya Nakamura kutoka Ufaransa ,Young T & Bugsey kutoka Uingereza na Youssopha Kutoka Ufaransa.
Tuzo hizo zimefanyika katika Ukumbi wa Microsoft mjini Los Angeles, Marekani ambapo umati mkubwa ulihudhuria licha ya kuwepo kwa tahadhari ya mlipuko wa Corona.
Mwanamuziki mkongwe wa Rap na Muigizaji Queen Latifah alikabidhiwa Tuzo ya Maisha Yaliyotukuka mwaka huu kutokana na ufanisi wa kazi yake.
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Rap, DMX, aliyefariki dunia kutokana na mshtuko wa moyo amepatiwa heshima kubwa katika tuzo hiyo ambapo wanamuziki Busta Rhymes, Method Man, Swizz Beatz, Griselda walimkumbuka kwa kumuimbia.
Ifuatayo ni orodha ya mchongo mzima wa washindi wa tuzo hizo.
ALBAMU YA MWAKA
Heaux Tales” Jazmine Sullivan — Mshindi
“Ungodly Hour” — Chloe x Halle
“King’s Disease” — Nas
“Good News” — Megan Thee Stallion
“Blame it on Baby” — DaBaby
“After Hours” — The Weeknd
MWANAMUZIKI BORA MWANAMKE WA R&B / POP
H.E.R. — Mshindi
Beyoncé
Jazmine Sullivan
Jhené Aiko
Summer Walker
Sza
MWANAMUZIKI BORA WA KIUME WA R&B / POP
6LACK
Anderson .Paak
Chris Brown
Giveon
Tank
The Weeknd
KUNDI BORA LA MUZIKI
Bruno Mars, Anderson .Paak and Silk Sonic — Mshindi
21 Savage & Metro Boomin
Chloe X Halle
Chris Brown & Young Thug
City Girls
Migos
MWANAMUZIKI BORA WA KIUME WA HIP HOP
Lil Baby — Mshindi
DaBaby
Drake
- Cole
Jack Harlow
Pop Smoke
Mwanamuziki bora wa kike wa Hip Hop
Megan Thee Stallion — Mshindi
Cardi B
Coi Leray
Doja Cat
Latto
Saweetie
VIDEO BORA YA MWAKA
“WAP” Cardi B ft. Megan Thee Stallion — Mshindi
“Up” — Cardi B
“Do It” — Chloe x Halle
“Go Crazy” — Chris Brown and Young Thug
“Laugh Now Cry Later” — Drake ft. Lil Durk
“Leave the Door Open” — Bruno Mars, Anderson .Paak and Silk Sonic
MSANII BORA MPYA
Giveon — Mshindi
Coi Leray
Flo Milli
Jack Harlow
Latto
Pooh Shiesty
Dr. Bobby Jones Best Gospel / INSPIRATIONAL AWARD
“In Jesus Name” — Bebe Winans
“Never Lost” — Cece Winans
“Hold Us Together” — H.E.R.
“Strong God” — Kirk Franklin
“Thank You For It All” — Marvin Sapp
“Touch From You” — Tamela Mann
TUZO YA KIMATAIFA
Burna Boy, Nigeria — Mshindi
Aya Nakamura — France
Diamond Platnumz — Tanzania
Emicida — Brazil
Headie One — United Kingdom
Wizkid — Nigeria
Young T & Bugsey — United Kingdom
Youssopha — France
TUZO YA WATAZAMAJI
“Savage (Remix)” Megan Thee Stallion ft. Beyoncé – Mshindi
“WAP” – Cardi B ft. Megan Thee Stallion
“Go Crazy” – Chris Brown & Young Thug
“Rockstar” – DaBaby ft. Roddy Ricch
“Popstar” – DJ Khaled ft. Drake
“Laugh Now Cry Later” – Drake ft. Lil Durk
“The Bigger Picture” – Lil Baby
“Leave the Door Open” – Silk Sonic
FILAMU BORA
“Coming 2 America”
“Ma Rainey’s Black Bottom”
“One Night in Miami”
“Soul”
“The United States Vs. Billie Holiday”
“Judas and the Black Messiah”
MUIGIZAJI BORA WA KIKE
Andra Day — Mshindi
Angela Bassett
Issa Rae
Jurnee Smollett
Viola Davis
Zendaya
Best Actor
Aldis Hodge
Chadwick Boseman
Damson Idris
Daniel Kaluuya
Eddie Murphy
Lakeith Stanfield
TUZO YA VIJANA
Alex R. Hibbert
Ethan Hutchison
Lonnie Chavis
Marsai Martin
Michael Epps
Storm Reid
MWANARIADHA BORA WA KIKE
Naomi Osaka — Mshindi
A’ja Wilson
Candace Parker
Claressa Shields
Serena Williams
Skylar Diggins-Smith
MWANARIADHA BORA WA KIUME
Lebron James — Mshindi
Kyrie Irving
Patrick Mahomes
Russell Westbrook
Russell Wilson
Stephen Curry
CHAGUO LA WATAZAMAJI
Bree Runway, United Kingdom — Mshindi
Arlo Parks — United Kingdom
Bramsito — France
Elaine — South Africa
MC Dricka — Brazil
Ronisia — France
Tems — Nigeria
Makala; Sifael Paul