The House of Favourite Newspapers

Lwakatare Afanya Ibada ya Mwaka Mpya – Video

0

MCHUNGAJI wa Kanisa la Mlima wa Moto, Getrude Lwakatare, ameendesha ibada maalum ya mkesha wa mwaka mpya kuukaribisha mwaka wa 2020 akiwa na waumini wa kanisa hilo lililopo Mikocheni B, Dar es Salaam.

Leave A Reply