The House of Favourite Newspapers

Mechi ya VPL Yaahirishwa Mbeya Kutokana na Mvua Kubwa

Wachezaji wakirudi kutoka uwanjani.

Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Mbeya City na Kagera Sugar uliokuwa umeahirishwa na kupangwa kufanyika katika Uwanja wa Sokoine Mbeya, umeahirishwa kutokana na hali ya uwanja kutokuwa nzuri kama inavyoonekana pichani baada ya mvua kubwa kunyesha.

Uwanja umetapakaa maji.

 

Mjadala kabla ya kuahirishwa kwa mechi.

 

Hali ya Uwanja.

 

Comments are closed.