The House of Favourite Newspapers

Meridianbet Inatoa Pesa na Mechi za AFCON

0

Ikiwa ni siku mbili tuu toka michuano ya AFCON Barani Afrika ianze, meridianbet nao hawako nyuma kwani mpaka sasa ukiingia kwenye akaunti yao tayari wamekwisha kuwekea timu hizi sambamba na ODDS zao. Bashiri sasa.

Mechi zikiwa zinazidi kupamba moto, leo hii kitawaka vilivyo ambapo Algeria itakuwa ikisaka pointi tatu za kwanza dhidi ya Angola ambayo ina ODDS 6.46 kushinda mchezo huu leo na Algeria anazo 1.55. Mara ya mwihso timu hizi zilikutana 2010 na hakuna mabaye alikuwa mbabe. Je leo hii Mahrez na wenzake watapata ushindi? Suka jamvi lako na uweke mechi hii.

Nao mabingwa watetezi Senegal  watakabiliana na Gambia ambao wamepewa ODDS 11.76 kwa 1.27  kushinda mechi hii. Ikumbukwe kuwa hii itakuwa ni mechi ambayo ina watazamaji wengi kutokana na ukubwa wa Senegal kwa kuwa wana wachezaji wengi sana ambao wanacheza vilabu vikubwa Ulaya akiwemo Sadio Mane, Diata na wengine wengi. Je vijana wa Aliou Cisses wataanzaje michuano hii?. Bashiri mechi hii na meridianbet.

Vilevile, huku ukiendelea kubeti mechi hizo za AFCON, kuna michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo ipo kwaajili ya kukupatia pesa za fasta kama vile, Aviator, Poker, Roulette, Rocketman na Sloti. Weka pesa bashiri hapa.

Baada ya jana kushuhudia matokeo ya ajabu kwelikweli ambayo labda hukutarajia na leo huenda yakatokea yakutokea hivyo ingia meridianbet mapema suka mkeka wako na ubashiri mechi nyingine ya kukupatia pesa kati ya Cameroon ambayo imesheheni vipaji vingi dhidi ya Guinea. Mechi hii imepewa ODDS 2.16 kwa 3.92. Cameroon ni moja ya Nnchi ambayo inapigiwa sana upatu kuchukua Kombe hili kubwa Afrika. Je atanza vipi michuano hii?. Tengeneza jamvi lako hapa na ubeti na meridianbet.

Leave A Reply