Meridianbet inawajibika kwa jamii: afya na burudani vinaenda bega kwa bega!

Kama Kampuni inayowajibika kwa jamii na kujali afya na utu wa wananchi, Meridianbet inataka kukuhimiza kufuata taratibu na kanuni zilizowekwa na mamlaka husika.

 

Sisi kama jamii ni lazima tujali afya zetu na wananchi wengine na kuonesha mshikamano kati yetu.

 

Tunafahamu kiasi cha msongo wa mawazo na hali ya mabadiliko katika maisha yetu, hali hii imepelekea watu wengi kutumia muda mwingi kukaa majumbani na kujitenga.

 

Hivyo, kwa ajili ya kufanya hali iwe rahisi katika kipindi hiki ambacho wote tupo, Meridianbet imeamua kuwapa ofa kubwa wananchi wote wa Tanzania.

 

Cheza michezo ya Kasino kwa gharama zetu, mizunguko ya bure, bonasi na zaidi! Tulia uburudike na michezo tunayotoa kwa sababu Meridianbet tupo kwa ajili yako. Kwa kila muamala unaoweka kwa kutumia Vodacom M-PESA au TIGO Pesa, Meridianbet itakupa 5% ya bonasi moja kwa moja kwenye akaunti ya bonasi.

 

Hauhitaji kutoka nje ya sehemu salama uliyopo kwa sababu yetu – unayo nafasi ya kuendelea kubashiri nasi kupitia tovuti yetu kwa kutumia simu yako ya mkononi kwa programu za Android au iOS au kutumia kompyuta.

Tunahimiza wananchi wote kutii maelekezo yaliyotolewa na mamlaka husika, na kuruhusu Meridianbet kukuletea burudani nyumbani kwako, kwa kukupa fursa ya kubashiri michezo mbali mbali pamoja na michezo ya Kasino.

Kumbuka, jambo muhimu kwa sasa ni kufurahi na kuwa salama.

Unaweza kujisajili kwa kutumia promo code ya RED unapojiunga nasi.

Tunakutakia kila la heri.

SOMA ZAIDI HAPA => Meridianbet

Toa comment