The House of Favourite Newspapers

MESSI, ROJO WAIANGAMIZA NIGERIA KOMBE LA DUNIA – VIDEO

TIMU ya taifa ya Argentina 🇦🇷 wanafuzu kuelekea raundi ya 16 ya michuano ya fainali za Kombe la Dunia 2018 zinazoendelea nchini Urusi baada ya kuinyuka Nigeria bao 2-1 katika mchezo wao mhimu ambao ulikuwa unaamua nani asonge mbele.

Nigeria ndiyo walikuwa wa kwanza kupata bao kunako dakika ya 14 kupitia kwa nahodha wao, Lionel Messi bao ambalo lilidumu kwa kipindi chote cha kwanza kabla ya kwenda mapumzo.

Dakika ya 51, Victor Moses aliisawadhishia timu yake bao kwa mkwaju wa penati kabla ya Marcos Rojo kuandika bao la ushindi la Argentina dakika ya 86.

Kwa matokeo hao, Argentinainapanda kutoka pointi 1 hadi pointi 4 za msimamo wa kundi, huku Nigeria akiwa wa tatu na alama zake 3.

Argentina sasa atakutana na Ufaransa Jumapili kwenye mchezo wa 16 bora.

Nigeria ameondolewa katika michuano hiyo.

Comments are closed.