MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amtembelea Askofu wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinal Pengo ofisini kwake leo, Kanisa la Mtakatifu Joseph jijini leo baada ya kutoka nje kwa matibabu. Kardinali Pengo alirejea nyumbani mwezi uliopita akitokea Marekani.