The House of Favourite Newspapers

Mfanyabiashara atoa misaada kwa jamii

0

1 2 3 4 5 6 7 IMG_2874 IMG_2876 IMG_2878 IMG_2879 IMG_2879-001 IMG_2880 IMG_2881 IMG_2882 IMG_2883 IMG_2884

Mfanyabiashara maarufu katika visiwa vya Pemba na Unguja,  Said  Nasser Nassor ‘Bopar’ hivi karibuni alikuwa akitoa misaada ya tende kwa baadhi ya wakazi wa Unguja nje ya ofisi yake iliyopo maeneo ya Mombasa visiwani humo.

Mfanyabiashara huyo  ambaye mara nyingi amekuwa na kawaida ya kutoa misaada mbalimbali wakati wa ramadhani na siku nyingine  alisema kuwa kufanya hivyo si kwamba ni utajiri  bali moyo.

Leave A Reply