The House of Favourite Newspapers

Mfanyie Haya Mpenzi Wako Penzi Lidumu

KATIKA mapenzi kuna vitu vingi unaweza kumfanyia mpenzi wako ukamfurahisha na kumfanya azidishe mapenzi kwako. Katika safu hii leo nitazungumzia mambo machache muhimu yatakayokusaidia kuboresha nakudumisha penzi lako kwa umpendaye. Mahusiano ya kimapenzi ni safari moja kubwa sana katika maisha. Safari hii imejaa mabonde na milima kila aina, kuna nyakati za furaha , hasira, huzuni.n.k

Yote hayo huweza kutokea pale ambapo watu wawili wamekubali kuunganisha mioyo yao na kuwa wapenzi. Hata hivyo, kuna nafasi kwa wapendanao kuzidi kuboresha mahusiano yao, ili wazidi kubaki kama kitu kimoja na kudumisha penzi lao. Hizi ni njia tatu rahisi za kusaidia kuboresha mahusiano yako na mpenzi wako.

MFANYIE ANACHOKIPENDA

Binadamu tumetofautiana hasa katika vitu tunavyopenda , msome mpenzi wako kwanza ujue anapenda vitu gani. Ukishafahamu anapenda nini, jaribu kumfanyia vitu anavyopenda. Ukifanya hivyo mara kwa mara, utazidisha upendo wa mpenzi wako kwako, kwani ataona unampenda kwa dhati kupitia vitu unavyomfanyia. Hivyo mahusiano yenu yatazidi kuimarika sana tu.

MSHITUKIZE NA ZAWADI

Hakuna kitu kinachoharibu mahusiano, kama kuwa na mahusiano yaliyozoeleka, yaani wewe unafahamu mpenzi wako atafanya hiki na hikii tu, hiki hawezi hata kufikiria kukifanya. Hali hii huondoa ule msisimko wa mwanzo, mliokuwa nao wakati wa kuanzisha mahusiano yenu. Hali hii inaboa sana, na inaweza ikawa chanzo cba kufa kwa mahusiano yenu ikiwa hutachukua hatua.

Fanya suprises za hapa na pale kwa mpenzi wako, na mfanyie vile vitu vizuri ambavyo hakutegemea kama ungemfanyia. Hii itasababisha kuendelea kuwepo kwa msisimko katika mapenzi yenu, hivyo kuzidi kuboresha mahusiano yenu.

MZAWADIE

Hakuna kitu kizuri katika mapenzi kama kupokea zawadi kutoka kwa mpenzi wako umpendaye. Ukimpatia mpenzi wako zawadi yoyote ile, humfanya ajisikie vizuri na mwenye thamani kwako kwani ataona kuwa yupo kwenye fikra zako.

unapompa mpenzi wako zawadi basi fahamu ya kwamba utamfanya mpenzi wako ajione kama ni wapekee kwako na anathamani kubwa kwako hivyo hatasita kudhihirisha mapenzi yake kwako, kikubwa zingatia pindi unaponunua zawadi kwa ajili ya kumpa mpenzi wako jitahidi kuwa mbunifu na uwe ni mwenye kubadilika siyo kila siku zawadi zile zile zinajirudia, kwa kufanya hivi utamboa mpenzi wako kuwa mbunifu na jaribu kumpa mpenzi wako zawadi zenye kutunzika mfano, kadi, maua, nguo n.k. Utamfanya azidi kukupenda zaidi na zaidi. Hii itasaidia kudumisha mahusiano yenu, kwani hata yeye atafikiri kukupatia wewe

KATIKA mapenzi kuna vitu vingi unaweza kumfanyia mpenzi wako ukamfurahisha na kumfanya azidishe mapenzi kwako.

Katika safu hii leo nitazungumzia mambo machache muhimu yatakayokusaidia kuboresha nakudumisha penzi lako kwa umpendaye. Mahusiano ya kimapenzi ni safari moja kubwa sana katika maisha. Safari hii imejaa mabonde na milima kila aina, kuna nyakati za furaha , hasira, huzuni.n.k

Yote hayo huweza kutokea pale ambapo watu wawili wamekubali kuunganisha mioyo yao na kuwa wapenzi. Hata hivyo, kuna nafasi kwa wapendanao kuzidi kuboresha mahusiano yao, ili wazidi kubaki kama kitu kimoja na kudumisha penzi lao. Hizi ni njia tatu rahisi za kusaidia kuboresha mahusiano yako na mpenzi wako.

MFANYIE ANACHOKIPENDA

Binadamu tumetofautiana hasa katika vitu tunavyopenda , msome mpenzi wako kwanza ujue anapenda vitu gani. Ukishafahamu anapenda nini, jaribu kumfanyia vitu anavyopenda. Ukifanya hivyo mara kwa mara, utazidisha upendo wa mpenzi wako kwako, kwani ataona unampenda kwa dhati kupitia vitu unavyomfanyia. Hivyo mahusiano yenu yatazidi kuimarika sana tu.

MSHITUKIZE NA ZAWADI

Hakuna kitu kinachoharibu mahusiano, kama kuwa na mahusiano yaliyozoeleka, yaani wewe unafahamu mpenzi wako atafanya hiki na hikii tu, hiki hawezi hata kufikiria kukifanya. Hali hii huondoa ule msisimko wa mwanzo, mliokuwa nao wakati wa kuanzisha mahusiano yenu. Hali hii inaboa sana, na inaweza ikawa chanzo cba kufa kwa mahusiano yenu ikiwa hutachukua hatua.

Fanya suprises za hapa na pale kwa mpenzi wako, na mfanyie vile vitu vizuri ambavyo hakutegemea kama ungemfanyia. Hii itasababisha kuendelea kuwepo kwa msisimko katika mapenzi yenu, hivyo kuzidi kuboresha mahusiano yenu.

MZAWADIE

Hakuna kitu kizuri katika mapenzi kama kupokea zawadi kutoka kwa mpenzi wako umpendaye.

Ukimpatia mpenzi wako zawadi yoyote ile, humfanya ajisikie vizuri na mwenye thamani kwako kwani ataona kuwa yupo kwenye fikra zako. unapompa mpenzi wako zawadi basi fahamu ya kwamba utamfanya mpenzi wako ajione kama ni wapekee kwako na anathamani kubwa kwako hivyo hatasita kudhihirisha mapenzi yake kwako, kikubwa zingatia pindi unaponunua zawadi kwa ajili ya kumpa mpenzi wako jitahidi kuwa mbunifu na uwe ni mwenye kubadilika siyo kila siku zawadi zile zile zinajirudia, kwa kufanya hivi utamboa mpenzi wako kuwa mbunifu na jaribu kumpa mpenzi wako zawadi zenye kutunzika mfano, kadi, maua, nguo n.k. Utamfanya azidi kukupenda zaidi na zaidi. Hii itasaidia kudumisha mahusiano yenu, kwani hata yeye atafikiri kukupatia wewe.

HAWA wa DIAMOND ANA HALI MBAYA – MAMA YAKE ALIA KWA UCHUNGU – MWENYEWE AZUNGUMZA

Comments are closed.