The House of Favourite Newspapers

Mfumo wa Pimaovid Wapata Hitilafu

0

Wizara ya Afya imetoa taarifa kwa umma kuwa, kumetokea hitilafu katika mfumo wa utoaji vyeti kwa njia ya mtandao, maarufu kama #PIMACOVID hivyo kuathiri utoaji wa vyeti hivyo, hasa kwa wasafiri wa viwanja vya ndege.

Leave A Reply