The House of Favourite Newspapers

Mgombea wa Mbatia Ajitoa Kwenye Kinyang’anyiro

0

 

MGOMBEA ubunge Jimbo la Madaba mkoani Ruvuma kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, Mkinga Ugin Gidion, amejitoa katika kinyang;anyiro hicho huku mwenyekiti wa chama hicho jimbo hilo, Joseph Kibena, akijiuzulu nafasi hiyo.

Leave A Reply