The House of Favourite Newspapers

Mhadhiri Aitwa Kuhojiwa, Ni Aliyeripoti kwa JPM Rushwa ya Ngono UDSM

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Vicensia Shule (Pichani) ameitwa kwenye kamati ya maadili ya chuo hicho kuhojiwa leo Ijumaa, Novemba 30, 2018 mchana kuhusiana na taarifa yake aliyoitoa kwenye mtandao wa Twitter akimuomba Rais Dkt. John Magufuli kuingilia kati kukithiri kwa rushwa ya ngono chuoni hapo.

ITAKULIZA! Ombi kubwa la Mke wa Azory kwa JPM

Comments are closed.