The House of Favourite Newspapers

Mharusi Wavalia ‘Mask’ Wafunga Ndoa Kuhofia Corona

0


Maharusi nchini Ufilipino wamelazimika kuvaa barakao (mask) wakati wa sherehe ya ndoa yao kutokana na hofu ya kusambaa kwa virusi vya Corona nchini humo.

Ndoa 220, zilizofadhiliwa na serikali ya nchi hiyo zimefungwa licha ya kuripotiwa kwa visa vitatu vya wagonjwa wa corona na kifo cha mtu mmoja.

 

Hadi sasa watu 2766 wamefariki dunia kutokana na virusi vya corona huku wengine 81,178 wakiripotiwa kuambukizwa.

Leave A Reply