Mikusanyiko Yapigwa Marufuku Mwanza

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel amepiga marufuku mikusanyiko yoyote ambayo sio ya lazima mkoani humo katika jitihada za kudhibiti  Ugonjwa wa Covid 19.

 

RC Gabriel amesema mikusanyiko itakayoruhusiwa ni misiba na ibada na kuongeza kuwa hakuna kusanyiko lolote litakaloruhusiwa bila kuwa na kibali mkoani Mwanza.


Toa comment