The House of Favourite Newspapers

Missed Call za Mama Rwakatare Zamliza Mtangazaji Global TV – Video

0

MIONGONI mwa watu waliokuwa karibu na aliyekuwa Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto, lililopo Mikocheni B jijini Dar es Salaam, marehemu Dkt. Getrude Rwakatare, ni pamoja na mtangazaji wa Global TV Online, Catherine Kahabi ambaye amezungumza jinsi alivyomfahamu mama huyo.

 

Catherine anasema usiku ambao mama huyo aliaga dunia, alimpigia simu mara kadhaa, nini kilitokea na alitaka kumweleza nini kabla ya kifo.

 

Tazama video hii

Leave A Reply