The House of Favourite Newspapers

Mjukuu wa Mandela Akutwa na Corona

0

NDABA MANDELA, mjukuu wa aliyekuwa rais wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, amekiri kwamba ameambukizwa virusi vya Corona.

 

Ndaba amethibitisha hilo baada ya ku-posti clip kwenye mtandao wa Instagram ambapo mwanzoni watu walimshambulia kwamba alikuwa akifanya utani katika suala hilo pale alipojieleza mwanzo kupitia mtandao wa Twitter na baadaye akaifuta posti hiyo.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by d_rebelsouljah (@ndaba_mandela) on

Leave A Reply