The House of Favourite Newspapers

Mkali Wa Dansi Adolf Mbinga Ana Hali Mbaya Kiafya, Alia Na Wadau Wa Muziki – Video

0

Msanii maarufu wa bendi hapa nchini, Adolph Mbinga, yuko kwenye hali ngumu, baada ya kusumbuliwa na ugonjwa takribani miezi mitatu na kushindwa kupanda tena jukwaani, kutokana na hali yake ya ugonjwa.

Ameomba wadau mbalimbali wa muziki wa dansi na Viongozi kumuangalia kwa jicho la pili wakati akifanya mahojiano na @globaltvonline kutokana na hali anayoyapitia huku akiwa hana matibabu ya kina, Adolph Mbinga, anatambulika kwa kibao chake cha “Kisa cha Mpemba” akiwa bendi ya African Stars “Twanga Pepeta” na “Neema” akiwa Diamond Sound

Kwa kumsaidia Adolph waweza kumsaidia chochote kupitia simu yake mwenyewe ya mkononi kwa namba 0786435363 (Adolph Mbinga).

Leave A Reply