The House of Favourite Newspapers

Mke Anywa Sumu Baada Kufumaniwa – Video

0

Vilio na majonzi vimetawala baada ya tukio la kuhuzunisha linalomuhusu mwanamke mmoja, aliyekuwa mke wa mtu, kunywa sumu iliyopelekea kukatisha uhai wake, baada ya kile kinachodaiwa kuwa mchepuko wake kuuliwa na mumewe.

Leave A Reply